Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwani yule wa kienyeji mliokuwa nae kwenye kuandikisha kura namba yake hukuchukua !

punguza Nyasi shemuwakienyeji
Namba yake nilichukua na tayari nilishaga mwandikisha na yeye kwenye idadi ya walio wahi kupiga kura kwenye daftari la kudumu

Nilimuacha/tuliachana tu pindi/siku tuliyopiga kura ila ni mpigaji kura mzuri kweli kweli maana hakutaka rushwa ili aibe kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…