hahaha!it is long time babes...!!!hyo picha hako kamwili hakarudi tena aseehhh! Hapo it was kwenye 2015 hivi rafiki sio 2017 nilikosea yaani najitamani mnooo!!!kwa sasa nimepungua sana km last year Dec I was 65 I tried to practice diet kwa Mara ya kwanza nilikonda nikaacha diet maana nilitaka nione naweza au siwezi...since then nimeishia hapa kwa 68!