Selfika na JF: Snap it. Show it

Huyu ndugu yangu simuelew ...kuna siku kanambia amempata gireee yaan kufa kuzikana

Leo anaomba busu kwa huyu wa karma ndo nikawa nauliza ni aka yake au
😁😁😁si mapenzi huota popote 😁😁

Ila umejua kuharibu dili za watu 😆😆
 
Haya mambo magumu sana.
Walimzurumu mtu mazao yake baada ya kumkodishia shamba,wakaja kumruka kuwa hawakumkodishia.
Jamaa naona kawazidi maarifa upande mwingine,hapo wanaenyeka hawajui chochote.
Duh hii ndio habari yake kumbe...
 
Tuyaache atasusa kunisaidia nikikwama ndugu yangu kichwa kibovu namjua
🤣🤣🤣🤣eti kichwa kibovu..sawa nimeacha.undugu wenu na anko frog naomba uendelee tafadhali😁😁
 
Reactions: Lee
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…