Selfika na JF: Snap it. Show it

woiii.......i see her[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]



@st annie ana tumbo zuri kakupa kababy kazuri

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unanihujumu Kalumbu [emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo rangi mie naitoa wapi cheusi mangara mie[emoji1787]
 
Haha umeniweza umenisema kiustadi Sana nafikiri Sababu unaijua Ngoja lile suala lipite ni miezi mitatu tu
Na tuzawadi twangu tushakuwa tushadoda[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwee dunia hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila naelewa na nilishaelewa kitambo ndio maana unaona hata mimi nimejikaza.
Mbona haunisifii kwamba nimekua!?!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahaaaaaahahhaahahaa kweli Umekua Sana kumbe ukituliaga Akili unazo eeh( tutaaaza upyaaaaaaaaaaa kwa sauti ya Bwege)
 
Hahaaaaaahahhaahahaa kweli Umekua Sana kumbe ukituliaga Akili unazo eeh( tutaaaza upyaaaaaaaaaaa kwa sauti ya Bwege)
Kaone[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unanichukulia poa sana???
Unadhani muda wote tu najitoa ufahamu?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nanyoka na msimamo wangu huu mpaka ukamilifu wa dahari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…