Selfika na JF: Snap it. Show it

It means ushaanza kuhisi somehow ukiwa na that power, inaweza kuwa na msaada kwako
Nitayainua macho yangu nitazame milima,
Msaada wangu utatoka wapi?
Msaada wangu U katika Bwana aliyeziumba Mbingu na nchi.
Ninayo nguvu ya Mungu ambayo ni zaidi ya hiyo.

Nayaweza mambo yote katika Yeye anitiaye nguvu.
Yote yanawezekana katika jina la Yesu.
[emoji445][emoji444][emoji445][emoji444][emoji445][emoji444][emoji445]
(CVC)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…