Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,546
- 235,320
Sijafuta hata.Ko umeshakufa tayari?
Turuhusiwe kuchek?
Yaani nimeunga bando langu dk1 limeisha[emoji34][emoji34][emoji34]Nikajua bei za bando zimeondoka na wewe.
Hili jibu sijalielewa labda niulize tena!Sijafuta hata.
Nadhani maelezo nimetoa ...labda nifanye kuedit tu!
Ushazoea kuangalia status 😩😆Yaani nimeunga bando langu dk1 limeisha[emoji34][emoji34][emoji34]
Huu ni ujinga sana wanafanya
Penzi??Hili jibu sijalielewa labda niulize tena!
Limekufa?
Ukisema hvo ina maan hauna iman na kaka ako mkwepu sio? wewe ndo ulipamban mpka leo tunapendana na kaka ako jmn vip tenaUmeua uchumba wetu wakati May mwaka huu tulikuwa tunamaliza mwaka.
Mimi nawatakia kheri.
Penzi ndio!!Penzi??
Linaelekea kufa[emoji23][emoji23][emoji23]
Nauandaa moyo kubeba maumivu[emoji174]
No!Ushazoea kuangalia status [emoji30][emoji38]
Mbona nyie ni macrush[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]Bora umetoa ufafanuzi ningekuogopa sana[emoji23][emoji23] crush.
Anne anawivu mtamu😋.Ukisema hvo ina maan hauna iman na kaka ako mkwepu sio? wewe ndo ulipamban mpka leo tunapendana na kaka ako jmn vip tena
Hv ujui kuwa mume wa wifi yako ni kaka ako????
Yaan mimi Jack Palladino ni kaka angu maan kwako ni mume na mimi ni wifi yako tulia mama mali yako hyo
Huyo nakugawiaUkisema hvo ina maan hauna iman na kaka ako mkwepu sio? wewe ndo ulipamban mpka leo tunapendana na kaka ako jmn vip tena
Hv ujui kuwa mume wa wifi yako ni kaka ako????
Yaan mimi Jack Palladino ni kaka angu maan kwako ni mume na mimi ni wifi yako tulia mama mali yako hyo
Hawezi kuua yupo committed na mtu wake[emoji6]Umeua uchumba wetu wakati May mwaka huu tulikuwa tunamaliza mwaka.
Mimi nawatakia kheri.
Hapo ndo ulipokosea angetokea mwingine sawa sio wewe uliye tafutiwa mume 😀😀Mbona nyie ni macrush[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Wivu huuu[emoji23][emoji23]
A wapi [emoji23]Penzi ndio!!
Kama bado linaelea em shandarize leo linafufuk mbona [emoji38][emoji38].
Wewe si umempenda..umenisaliti Mimi.
Pole mnooNo!
Nimehamisha app ya jf kwenye simu nyingine maana huko kulikuwa na bando...
Namalizia tu kulog in wananiambia bando limeisha[emoji134]
Hivi ni wajinga gani wamefanya haya mambo?
Huu ni ukatili jamani[emoji34]
Ningekuwa mchawi leo ningeroga watu wallah
Opportunist wako makini muda huu.Wewe si umempenda..umenisaliti Mimi.
Na mimi siwezi kuendelea wallah
Mbona nyie ni macrush[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Wivu huuu[emoji23][emoji23]
Ucrush huu wangu hauna madhara kwa sababu mimi sijamtaka S TO I C..alinicrushia mwenyewe.Hapo ndo ulipokosea angetokea mwingine sawa sio wewe uliye tafutiwa mume [emoji3][emoji3]