Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Imebidi nicheke tu.Karibuni sanaa.
Hivi kwanini wanawake hupenda kusogeza kiti karibu na usukani wakiwa wanaendesha gari?!
Dada yake mie naona umeshapata crush tayari!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] why my dear?Imebidi nicheke tu.
Tena huyo amejitahidi sana, wengi naowafahamu usukani unataka kugusa kabisa kwenye nyonyo
[emoji23][emoji23]
Nimecheka kwa sauti aiseImebidi nicheke tu.
Tena huyo amejitahidi sana, wengi naowafahamu usukani unataka kugusa kabisa kwenye nyonyo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] why my dear?
Naombeni jibu
Na wewe ni mmoja wao?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimecheka kwa sauti aise
Jmn me sijavunja bhna wameamua wenyewe kuvunjana [emoji23]Umevunja penzi la watu[emoji19]
Uwe kufa crush.... anakupenda sana hawezi kuacha hyooo
Mara ya kwanza kujifunza gari nilivua Viatu so tangu kipindi hicho mpka sasa siwezi kuendesha gari na viatu 😅😅Kwa kweli ngoja nianze kufanya huo utafiti; na wengine kuendesha na viatu ndiyo mtihani kabisaNa wewe ni mmoja wao?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😒😒😢😢😩😩.Jmn me sijavunja bhna wameamua wenyewe kuvunjana [emoji23]
Nini sasa jmn me ninaye mkwep wangu ananitosha jmn [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji114][emoji114][emoji19][emoji19][emoji22][emoji22][emoji30][emoji30].
Em tupostie zile nido tena, mimi nimezimic.[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]View attachment 1741497
Sipendi nyama😢.View attachment 1741498
Mchomo gani ungeupenda na kwanini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Em tupostie zile nido tena, mimi nimezimic.
KwaniniSipendi nyama😢.
Tunasubiri kadi tu.Nini sasa jmn me ninaye mkwep wangu ananitosha jmn [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji114][emoji114]