Selfika na JF: Snap it. Show it

Mengi yasiwe mambo

Kwanza safari yenyewe nililala njia nzima tangu tunatoka Udom..nilikuja amshwa wakati wa kushuka.
Sielewi hata tulipita wapi.

Wakati wa kurudi hivyohivyo... na huwa tunatoka usiku wa manane,tunasafiri usiku kucha yaani ile saa11 kamili tunakuwa tushafika stand mjini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…