Namwachia Mungu nakuambia๐๐๐ ushindwi kuniambia kachukue mvinyo unidakie pale.
Saa 12 jioni nakutumia msg Dada mzuri ๐๐
Surfing or paddling?
Unamuachiaje Mungu kirahisi hivyo? Ina maana umeshindwa kupambana mwenyewe ๐๐Namwachia Mungu nakuambia๐
Nishaondoka huko siku nyingi niliona unazingua tu!
Kwa hiyo umeniweka kwa foleni kabisa๐
Reacted with โค napenda view (s) zenye maji maji ( Bahari, mto, ziwa, swimming pools, hata vidimbwi ila maji yasiwe machafu sana/ na takataka mingi. ๐ค
Utanikimbia tena?? Au nikuwekee FBI kabisa this time[emoji57]Unamuachiaje Mungu kirahisi hivyo? Ina maana umeshindwa kupambana mwenyewe [emoji3][emoji3]
Ikungi bby, see you soon! Afu mimi na wewe ni waarabu wapemba eti? Kaa kwa utulivu my dia [emoji125][emoji125]
Haha tulia binti. Hebu kwanza tupia kaselfie hapa...Utanikimbia tena?? Au nikuwekee FBI kabisa this time[emoji57]
Utakuwa una jambo lako Ikungi si bure!!
Ebu sema suuuu kama sijatupia ile yako ili unibloku vizuri๐คชHaha tulia binti. Hebu kwanza tupia kaselfie hapa...
Kublock block watu ni udhaifu eti (kuna member alinambia hivyo ๐Ebu sema suuuu kama sijatupia ile yako ili unibloku vizuri๐คช
Niliiona hiyo kwenye uzi flani hivi ulimrepoti jamaa 1alikuwa anatukana wanawake๐คฃKublock block watu ni udhaifu eti (kuna member alinambia hivyo ๐
Suuuu 'afu ndio utajua hujui...
Wewe ni mdogo wangu kabisa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]karma kunenge......[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] sasa natuma badae ni dm digit chap kwa haraka.....umetisha
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Mimi ni mdogo wako kabisa kiumri,kimwili au kiroho?[emoji1]Wewe ni mdogo wangu kabisa
Marahaba mdogo wangu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mimi ni mdogo wako kabisa kiumri,kimwili au kiroho?[emoji1]
Ebu fanya nione vielelezo vyako muhimu(nyeti) vilivyosababisha wewe ukajiaminisha kuwa mimi ni mdogo wako(vyote kwa pamoja)[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Vyote kwa pamoja
hahahahahah kama hutaki basi......haiwezekani kila sehemu unaijua[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
MMHH
Nipo mpendwaUpo mpendwa?