Selfika na JF: Snap it. Show it

Hivi ujasi Au wajasi ndiyo nini
Ujasi ni kifupi Cha ujasiriamali
Wajasi ni wajasiriamali.

Huko ng'ong'ona na bondeni ni maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya wajasiriamali wadogo.
Kuna migahawa midogo na vibanda vidogo,watu wanauza nguo,washona cherehani, na vitu vingine..biashara nyingi nyingi tu.
Ndiyo maana wanakuita ujasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchumba!
 
Ooh hiyo ni tofauti na Kariakoo ya kule humanities na social au? Halafu na kuzunguka kwangu kote UDOM hauwezi amini eti kule ng'ong'ona bado sijawahi fika!
 
Ooh hiyo ni tofauti na Kariakoo ya kule humanities na social au? Halafu na kuzunguka kwangu kote UDOM hauwezi amini eti kule ng'ong'ona bado sijawahi fika!
Basi wewe hujazunguka bado

Kule ng'ong'ona ujasi yake ni kubwa kuliko ya bondeni.
Inamaana hujafika hata Benjamin Mkapa Hospital??Ukiwa njiani coed,kule ng'ambo kwenye nyumba nyinginyingi ndio ng'ong'ona kwenyewe.

Kariakoo ni sehemu yalipo maduka ya social...ujasi ya bondeni ipo chini kabisa huku kuelekea makulu..ukiwa humanitia inakuwa rahisi kufika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani hauwezi amini eti hata B Mkapa sijafika na karibu kila siku nilikuwa napanda daladala za huko! Ila nashukia either bank (nikiwa naenda utawala) au informatics sijawahi kuendelea zaidi ya pale ila kule social nimezururamo kidogo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…