utasema plz bill dont try to quit this.......kalumbu bia zina feeling aisee
wifi yako jana ananambia amenimiss nikilewa hua anaenjoy sana nikiwa bia....nisipokua bia mimi mpole sana plus shy but bia inanipa kwa uhuru fulani nikiwa na mama Kendrick anaenjoy sana (according to her) usinione najijaza