Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,552
How many days left?Good
Leo ni 19 Feb,
Days are numbered![]()

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
How many days left?Good
Leo ni 19 Feb,
Days are numbered![]()

Hahahahaha
Mm uwa kila mara naweka picha zangu humuHahahahaha

Hongera ila Mimi sijawahi weka picha yangu halisi Jf na sifikilii kuweka
Mbona ile picha ni nzuri tu tena mno mpendwa?Hapanaaa love nakuomba sio hapa jukwaaani wala pm nakuomba mno usifanye hivyo
Umesahau?
Yes ni nzuri ila sikuhitaji iwe hivyo mpendwaMbona ile picha ni nzuri tu tena mno mpendwa?
Mtani wako mwingine billdrago kapotelea wapi? Alipopotea mara ya kwanza kumbe alikuwa mahabusu. Jaribu kufuatilia tena isije ikawa wamemrudisha huko...Umesahau?
Aisee unapita kimya kimyaNikutumie PM uhakikishe? Ninayo mbona![]()
OohHongera ila Mimi sijawahi weka picha yangu halisi Jf na sifikilii kuweka
Kumbe sio yako basi@Depal aweke tuHongera ila Mimi sijawahi weka picha yangu halisi Jf na sifikilii kuweka
Daaah!..mahabusu tena!...kwema kabisa mkuuMtani wako mwingine billdrago kapotelea wapi. Alipopotea mara ya kwanza kumbe alikuwa mahabusu. Jaribu kufuatilia tena isije ikawa wamemrudisha huko...
Kwema lakini?
Ametingwa na kaziMtani wako mwingine billdrago kapotelea wapi. Alipopotea mara ya kwanza kumbe alikuwa mahabusu. Jaribu kufuatilia tena isije ikawa wamemrudisha huko...
Kwema lakini?
28-19 utapata majibu

Anawapa hi sana.
Ngoja tuone itakavyokuwa.