Selfika na JF: Snap it. Show it

Siwezi bananishwa The Wolf ..nilisharudi nikaja tena,nikirudi bara tena basi ili mradi tafrani tu.

[emoji28][emoji28][emoji28]haiwezekani mimi kubananishwa huku[emoji16][emoji38]
We unasema tuu, huko ukikutwa na mke wa mtu unapelekwa jela (chuo cha mafunzo), na huafai katika jamii bora huku bara unakatia konyagi hutaki mazoea baada ya wiki wamesahau
 
We unasema tuu, huko ukikutwa na mke wa mtu unapelekwa jela (chuo cha mafunzo), na huafai katika jamii bora huku bara unakatia konyagi hutaki mazoea baada ya wiki wamesahau
Sijawolewa bhana 😅😅😅kuwa free tukajiachie huko nungwi😎maisha ndo haya haya brother.

Hebu toa woga tukajipigie zetu nyagi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…