Selfika na JF: Snap it. Show it

Satini hiyo nzuri had rangi imenoga, afu mbona imekukaa vizuri tyuuh, labda kwa huko juu kna kasoro, ila kwa nilivoona hapo uko fresh kabisaa, na umedamshiiiiii yaan.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]thubutuuuh ntakufurusha weyeeeh ooooh,
Kichungu lazima ukionje.
Usikubali watu wakuonjee.
Onja mwenyewe uona ladha yake inafananaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unacheka nn wee babu? Mnadhulumu haki za wajukuu zenu wa kiume, wanaishia kuharibu mali za umma. Muache mara 1 huo ufedhuli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa...[emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji1549][emoji1549][emoji1549]
 
hahahahahhaha yani nilikua niko serious na notification.....nijue jibu eeeh


bhakamanya kinyakyusa tubhajhobhepo.....eeeeh alii nghughanile???



kalumbu
Ramli chongamishi hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mma , nganie kujobha findu ifi panu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…