Selfika na JF: Snap it. Show it

Leo umeabudu ndani ya vazi la satini mujarabu kabisa, na limekupendeza haswaaah, vipi n gauni au skirt na shirt?
Satini yangu ilikuwa inawakawaka tu kwenye jua la asubuhi


Ni gauni.. lilikuwa la sherehe huko msimamizi wa send off alinipa.

Nilienda kumodoa kidogo maana nilivyo miss sijambo

Fundi alichonifanyia nilitamani kummeza.
Navaa tu kiugumu ni vile siwezi kutupa nguo hata siku moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…