[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usijar hata, nikiwa pande izo nakufahamisha, nimemis sato na sangara,Uzuri dunia hii ni yetu tutakutana tu mkuu
Sawaaa tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1]Ila jamn jf
Usijali baby wa kwanza ni wakwanza tu siku zote[emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mkuu Mgiriki[emoji23][emoji23][emoji23]
Poaaah usijar.Shukrani mkuu
Am Gentleman😎Wow[emoji4] superman[emoji6]
Butimba hupajui😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usijar hata, nikiwa pande izo nakufahamisha, nimemis sato na sangara,
Huko maeneo ya buzuruga, nyegezi, nyakato meko, Nganza na nsumba, st agustine, niliwahi enda had geita mgodini kule nyamalembo.
Naomba kuwa mwenyeji wako siku ukija pande hizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usijar hata, nikiwa pande izo nakufahamisha, nimemis sato na sangara,
Huko maeneo ya buzuruga, nyegezi, nyakato meko, Nganza na nsumba, st agustine, niliwahi enda had geita mgodini kule nyamalembo.
Eeeeh napakumbuka kidogo, sema me nilienda 2017, tangu hapo sijaenda tena, nakumbuka pia bwiru, igoma, pasiansi, yaan mjini pale. Uwanja wa kirumba.Butimba hupajui[emoji23]
Ukaribie ukija T 1990 ELY atakuletaEeeeh napakumbuka kidogo, sema me nilienda 2017, tangu hapo sijaenda tena, nakumbuka pia bwiru, igoma, pasiansi, yaan mjini pale. Uwanja wa kirumba.
This year nakuja huko field, ntaomba msaada wa mandalizi ya room la kuishi wakati wote ntakaokua huko, nikija mie ni kulipa tyuuh.Naomba kuwa mwenyeji wako siku ukija pande hizi
Nitakutunza na kukulinda na sitatoa siri yoyote ile.
Eeeeeeh cocastic nikubalie
Usijar mie tena ntakaribia San, ila sato na sangara wawepo wa kutosha uwiiiiiiiiiih.Ukaribie ukija T 1990 ELY atakuleta
Ozaa niaje mkuu
Usiwazeee kabisaa utawachoka mwenyeweUsijar mie tena ntakaribia San, ila sato na sangara wawepo wa kutosha uwiiiiiiiiiih.
[emoji23][emoji23][emoji23]Na bila chumvi chumvi hakuna utamu hapo[emoji39][emoji39]
No nilikuwa busy tu somewhereUlikimbia jana
Watu wanataka ile chumvi chumvi bhana [emoji23][emoji23]Tobaaaaaaaaah wee lol.
Ukiacha pombe kwa sababu ya mtu ni ujinga.siendi bwana nimetafakari kwa kina kuliko kukukosa Bora nikose pombe [emoji4]
Mbona kinyonge sasaSawaaa tuu
Karibu sanaThis year nakuja huko field, ntaomba msaada wa mandalizi ya room la kuishi wakati wote ntakaokua huko, nikija mie ni kulipa tyuuh.