cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 118,640
- 193,770
Yaan wee acha tyuuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wenye boom hali ni tete
Boom limekata
Wanakula mikate kama wana wa Israel jangwani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2969]
Hali ni tete kwa kweli mweeeeh.
Wengine boom hata hatujui ladha yake, tunawaangalia wanavuta hayo mapene.