Thanks for your maturity
Unachosema ni sahihi kuhusu Mtindo wa maisha hasa ya kula kula unavyoweza kuchangia hiyo miili mikubwa na vitambi
By the way ukipata Binti mdogo ambaye hajazaa unaona kabisa na Umbo namba 8 lilivyojichora kirahisi huwezi dhani ni Mnyaki hata
Nikaribishe nikutembelee jirani , si unajua safari moja huanzisha nyingine