Selfika na JF: Snap it. Show it

Hapo unanena kwa lugha za bwana, matamshi hayasikiki. Roho mtakatifu amekushukia,
Nakumbuka shule wakati wa dini, walokole jaman watu wanatoa maneno hayaeleweki, unahisi kabisa Yesu yupo hapo.

Cc mtakatifu ktk ubora wako.
Hamna nilikuwa naimba..
Wakati wa kuimba hatupigi maombi Sana maana sauti inaweza kata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…