Nimeona kuna hela zimemwaga humu ndani.
Hamna shindano lingine lililotangazwa?
Weka basi yako og
Aise, embu nirushie PM
Wa ninapokojolea Besti...
Haah PM nimuone tu mkuu, najua hawezi kumweka hapa kuheshimu privacy ya dada ake..
Duhhh
Hivi kuna watu huwa wanawafwata PM kisa mironjo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimecheka sana KAPEACE.Enheeee miili ya kiume hii nilijua nilivyokuwa nakuchora ndivyo ulivyo .....wadogo zangu wanafaidi sana
Nakusubiri huyu mtoto kakushika vilivyo inaonekanaNgoja nikuwekee real face, sijui nikutumie PM hiyo ilikuwa lasha lasha nimeicrop crop best...
Kitu hicho moto wa kuotea mbali
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimecheka sana KAPEACE.
Kumbe hata nyie kuna muda mnawaza kama sisi "eti wanafaidi"
Hata maisha yetu bado tunayapeleka kijamaa, chochote kizuri tuna share
Huchezi mbaliKitu hicho moto wa kuotea mbali
HayaWeka tena dk 1 nione
Hahahaha utakuwa wakili weweKwanini best, jamani si nimeomba tu maana nipo bukoba sasa kama dada mtu yuko Ulaya nitaweza mfuata kweli..
Nikionaga miguu kama hii wala hata sijiangaishagi kuangalia sura.Enheee walau sasa namzidi karangi
Mengine sisemi maana nina hasira bora nije pmView attachment 1221964
Ndo ukitulize kidude hicho sasa,,Kama kawaida yetu wanaume tunapenda sehemu moja tu, hata ikitokea tumetendwa tukapata mtu mwingine ni ngumu sana kuchukua nafasi ya yule uliekuwa unampenda
Haya
Hahahhaah guu la bia .....yeah yeah yeahNikionaga miguu kama hii wala hata sijiangaishagi kuangalia sura.
These are kinda legs that drive me crazy.
Aisee ifunge iyo PM