Selfika na JF: Snap it. Show it

Mmh hapo kwenye kutokuwa na Hela ngoja ninyamaze tu ila naona umeamua kuwapoteza maboya
Sasa usawa huu hela zinatoka wapi douta, hali ngumu acha kabisa. Tumebaki kuimba mapambio tu, na vile hatuna PhD teuzi hatupati hakyanani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…