Ili kuendana na hii kasi ya mkimbizano, utapoikuta thread unairukia tu kwa mbele, maana kule ulikoacha wenzio washaona picha za ya 10, Lord have mercy.!!
Huu uzi umeondoa ile dhana yakuchomoa betri kwa wadada...kwa sasa mtachat na kujiachia mkiwa huru kabisa,ikiwezekana na pm zenu fungueni tu hakuna kujificha ficha tena