safi Sana mwanamke akipiga hasa vitenge Og na style fulani ni balaa Sana Yule dgo wangu wa kike ana fundi hapo uyole aisee mpaka na Mimi nilianza shawishika kushona mashati ana mikato ya hatari
Mbona huwa naona kwenye picha wamekatakata vipande?.
Mm Bora nishinde njaa kuliko kumla mbuzi mzima hivi,yaani hata kuku nikumuona kabla hajachinjwa siwezi kumla .