T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,106
- 30,528
Ndiyo mkuu nilishawahi kulala rumande kituo cha KAGONGWA KAHAMAmwaka nimeuona maisha lazima yaendelee hamna namna ,, ushawahi kaa rumande mkuu hata one night stand ?
Pole sana mkuu ni changamoto za maisha hizo.Habari washkaj zangu niliwamis Sana mwenzenu nilipata majanga sikumaliza mwaka vizuri ndio maana hamkuniona humu la kwa muda nilipata bonge la ajali wazee nikagonga watu bahati mbaya wakafa nimekaa Sana rumande nimetoka juzi mniombee nikae sawa kisaikolojia
Hela natolea wapi mimi jamani πππngoja Nicheke mimi..mdogo wangu hela ipo nakuaminia ukajipa vakee π
pole sana MkuuHabari washkaj zangu niliwamis Sana mwenzenu nilipata majanga sikumaliza mwaka vizuri ndio maana hamkuniona humu la kwa muda nilipata bonge la ajali wazee nikagonga watu bahati mbaya wakafa nimekaa Sana rumande nimetoka juzi mniombee nikae sawa kisaikolojia
Unakula kichuri eeh!
Naona mdudu Mkuu.
Heri ya mwaka mpya ArifuHela natolea wapi mimi jamani πππngoja Nicheke mimi..
Ngoja nijirudie zangu bongo mji wa gharama huu siuwezi
πππ now you are a man bila kuzama mle nasikia unakua hujakamilika Kama mwanaume though sio sehem nzuri kabisa aiseeNdiyo mkuu nilishawahi kulala rumande kituo cha KAGONGWA KAHAMA
Ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza kukamatwa na polisi na kupakizwa kwenye gari ya polisi.
Nililia sana siku hiyo mule ndani
Na kwako pia MkuuHeri ya mwaka mpya kwenu nyote!
Mungu akawajaalie mahitaji yenu kwa kadri ya mapenzi yake
dah siku natoka nilimtafuna huyu mdudu kilo moja na nusu alone
upo pekeako kweli huko ? Kuna namna ππHela natolea wapi mimi jamani πππngoja Nicheke mimi..
Ngoja nijirudie zangu bongo mji wa gharama huu siuwezi
Kabisaa kama hujawai kaa mule huna Tofaut na other gender...πππ now you are a man bila kuzama mle nasikia unakua hujakamilika Kama mwanaume though sio sehem nzuri kabisa aisee
Yap ni kwema kabisa.Kabisa arifu
Vipi kwema lakini mkuu
hapo unapigia mahesabu ya nyama unazokula niniπππ
Likewise MkuuHappy new year to you all fellas in here #selfika
kweli mkuu nimezitia Moto kweli kua uyaoneKabisaa kama hujawai kaa mule huna Tofaut na other gender...
Pia ukitoka tu nguo unatakiwa uzichome zile kuondoa nuksi.
vipi mkuu ushazitia Moto