Mengine yapitie uko nje boss hakika.Sikatai lakini sasa kama umekutana na watu humu awe jinsia ke au me cha msingi ni mawazo tu, ila ukitaka zaidi kama kukutana ndiyo unakutana na mambo tofauti mara kupewa ukimwi, mara kutapeliwa, mara kudanganywa, mara kuumizwa, mara kukutana na jinsia tofauti so mambo ni vurugu, jambo zuri ni kuchukulia jf kama sehemu ya kukurefresh akili na kujifunza mambo
Mzaha mzaha hutumbua usahaHya basi jamni siujua itakuwa mzozo kiasi iko napenda snaa masihara but issu imekuwa serious naona sorry[emoji120].[emoji124]
Mkuu mtu chake wewe kumbe ni mwanamke[emoji1][emoji1][emoji1]Sidhani km anaweza kuwa na bahati hy ,wenzie wamejaribu sana
Sana yani.hakuna maana ya kusema namjua fulani namjua fulani ili iweje kwani😫😫Privacy ya mtu ni muhimu sana umeongea jambo zuri
Usijute bila kujifunzaHya basi jamni siujua itakuwa mzozo kiasi iko napenda snaa masihara but issu imekuwa serious naona sorry[emoji120].[emoji124]
AisehSidhani km anaweza kuwa na bahati hy ,wenzie wamejaribu sana
tuheshimiane kdg Mkuu ,hunijui sikujuiMkuu mtu chake wewe kumbe ni mwanamke[emoji1][emoji1][emoji1]
Tell himtuheshimiane kdg Mkuu ,hunijui sikujui
Usikute ata uyo T Elly ni pisi.Unatafuta kupigwa ngumi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] siamulii mimi ili mfundishane kibabe
Rafiki kipenzi usijariSana yani.hakuna maana ya kusema namjua fulani namjua fulani ili iweje kwani[emoji31][emoji31]
Hahahaha, duh hkn ngumi hapa MkuuUnatafuta kupigwa ngumi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] siamulii mimi ili mfundishane kibabe
Wasijidanganye kabisa aseeTell him
Mfundishe kwa ngumi [emoji1787][emoji1787][emoji1787], nilikua natania ndugu yangu najua hamuwezi fika hukoHahahaha, duh hkn ngumi hapa Mkuu
Sema blood kuzoea zoea watu humu mwisho utazoea majini nayo yapo yana smartphones.Wasijidanganye kabisa asee
[emoji1787] [emoji1787] Mbona umefupisha jina [emoji23][emoji23][emoji23]Usikute ata uyo T Elly ni pisi.
..[emoji1787] [emoji1787] Mbona umefupisha jina [emoji23][emoji23][emoji23]