hebu fanya maajabu nije kujimwaimwai, njaa inaniuma hapa,nipikie mama siunajua huwa sibakizi chakula chako mama maana msosi wako ni mtamu mtamu, hayo. Naona madiko yapo tayari na huku njaa imezidi,
Nenda kwenye ule uzi wa RRONDO wa road trips kuna watu kadhaa wako na road trips za kwenda kaskazini tarehe hizi waweza kupata lift! Au utakuwa umeshachelewa sana?