Usije ukamkimbia mumeo,si unajua sisi tuna sifa za kati na kati na tunapendwa sana na sifa hizi ndio zinatafutwa mno.
Kama uko single itakuwa ndio salama kwako.
Usije ukamkimbia mumeo,si unajua sisi tuna sifa za kati na kati na tunapendwa sana na sifa hizi ndio zinatafutwa mno.
Kama uko single itakuwa ndio salama kwako.
Ni ya kwangu.mmmh kwa ile picha uliyotuma asubuhi utafunika lazima labda kama sio yako
Bathi thawaaaaa.Mi nikikuona na roho yangu itapona
Kama ni kati kati tuu nitamfunika hadi miminimama
Acha mbwembwe,weka picha
Akikataa kuweka picha uniambie nimchomolee betriMi nikikuona na roho yangu itapona
Ni ya kwangu.
Lakini ya asubuhi nilituma passport tuu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]huku chini ngoja tuone kesho.
Uchawi upo
Tena unafanya kazi
Kabisa.Kwamba "Uchawi upo".
Uchawi upo kweli.
Halafu huko chini kuwe na zigo,,, asalaleee nyie ndo mnafanya waume zetu wachepuke, shwaini
Amina[emoji28][emoji28][emoji28].Raundi hii utapata..tena si umesikia dau linapanda
Ameshakataa tayariAkikataa kuweka picha uniambie nimchomolee betri
Sa unamiliki nini...??Hahahaa, ndyo maana sijapost sababu similiki chura hata yule mdogoo[emoji30] ,hivi una alleg gani na vyura lakini[emoji1]
Nimemzidi.What zigo unamzidi miminimama!!!!! Asalaleee tuunge urafiki basi