Basi vyema kabisa.Niliona bora nikate tamaa tu ila nimeangukia mikono salama kabisa kwa linahbaby mtoto mzuri sana ana sifa na ugonjwa/magonjwa yangu yote nyemelezi.
Wewe tena kaka yangu naachaje kukupenda!!!Nipende na mimi[emoji1]
Khaaaaaah!![emoji119][emoji119][emoji119][emoji1787]Hapana. Ni economic principle. Ipo kila mahali mpaka kwenye lugha.
Daima ni bora kufanya/kupata unachotaka kwa kutumia resources kidogo iwezekanavyo. Ndiyo maana huwa unaomba kupunguziwa bei ! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Naomba nirudie tena! Sitaki utani hata kidogo[emoji41]
Babe nini mbaya?Naomba nirudie tena! Sitaki utani hata kidogo[emoji41]
Kwambaaaaa!!!!!!Ukirudi uje na familia yako hapa, sikupokei kirahisi...[emoji39][emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mnanichekesha hatari!!
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Shem tuma namba yako, zawadi tu nitakopa ili upate[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asifanye mchezo[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kamati ya roho mbaya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Saa saba mapema namna hiyo?? Kama hadi Asubuhi nitamrudisha..Akurudishe nyumbani...saa saba mwisho!
Ndiyo kasema ukirudi nikurudishe etiii[emoji849]
Kwamba niache kumtetea ndugu yangu? Wewe ulisikia wapi? Ila nasikia wewe ndiyo tatizo Shem!!!Hujawahi kuwa upande wangu hata siku moja shem, siku moja moja uwe unanitetea. Huyu mdogo wako ni kichomi balaa
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Amekazia hapo[emoji2]Ukiona wivu kwa dadako nitakushangaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana.. Alisisitiza tu hapo.@Makiseo shemeji yangu, mdogo wako ana wivu!
Huyu dogo unampenda kwa namna ipi?
...yaani niko tayari kukopa ili tu upate zawadi shem. Nimeachiwa majukumu yote ya kodi, ada wakati mtu amepokea vikoba.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Kukopa tena? Namna gani Shem..
..watu wanawatetea mashemeji zao bwana! Tena wanamwambia mdogo wao aache mambo yake..wewe hata hunihurumii.Kwamba niache kumtetea ndugu yangu? Wewe ulisikia wapi? Ila nasikia wewe ndiyo tatizo Shem!!!