Selfika na JF: Snap it. Show it

Bageshi. Unakamata ugali kila siku lakini hunenepi, unakwama wapi? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Wengine mpaka tumekatazwa kula ugali (mara kwa mara) [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Haha....Hata sijui nakwama wapi bhageshi maana kama kula nakula sana tu.

Huwa natamani na kupenda nipate kakitambi kadogo ka kufutia/kupangusia simu kioo[emoji1]

Vipi kwema lakini mkuu
 
Wacha bwana!! Mliona maneno mengi mtachoka kukandamiza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana. Ni economic principle. Ipo kila mahali mpaka kwenye lugha.

Daima ni bora kufanya/kupata unachotaka kwa kutumia resources kidogo iwezekanavyo. Ndiyo maana huwa unaomba kupunguziwa bei ! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…