Wooooooozah!!!! Popote tu mdogo wangu.. Vya bure havichaguliwi[emoji23] Umemaliza kuvunja vikoba vyotr kwani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mnanichekesha hatari!!Nishavunja vyote, twende sehemu tulivuuuuu. Tukirudi tuanze upya na stress za shemeji yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa tutaishije mpendwa? Au kwa neno?Teh!!..leo hakuna kula wala kunywa.
Habari ya uzima mpendwa
Dear simu yangu mbovu nikituma picha hazifiki nisamehe bure mpenziKhaaah!![emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Sijapoa bwana, fanya kamchakato.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shem tuma namba yako, zawadi tu nitakopa ili upate[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haki nacheka kama chizi hapa.. Naomba hata zawadi ya Christmas basi.. Sitaki makubwa mimi..
Kamati ya roho mbaya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kanikubalia tayari.. angekataa na mimi si Mke hana...
Akurudishe nyumbani...saa saba mwisho!
Mmmmmmmmh! Jamani jamani kweli ndio umechagua uongo wooote ukaona huu ndio unanifaa[emoji2297][emoji2297][emoji2297]Dear simu yangu mbovu nikituma picha hazifiki nisamehe bure mpenzi
Nakuja na MakiseoUkirudi uje na familia yako hapa, sikupokei kirahisi...[emoji39][emoji39]
Mambo ndiyo kama haya sasa[emoji8]Nishavunja vyote, twende sehemu tulivuuuuu. Tukirudi tuanze upya na stress za shemeji yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujawahi kuwa upande wangu hata siku moja shem, siku moja moja uwe unanitetea. Huyu mdogo wako ni kichomi balaaKila leo ana kesi..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wamenipa kimini[emoji23][emoji23]
Na wanagoma kubadilisha
Sasa si ushatoa ruhusa au?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mnanichekesha hatari!!
Wacha bwana!!Shem tuma namba yako, zawadi tu nitakopa ili upate[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Akurudishe nyumbani...saa saba mwisho!
Anza tu kupaki maana tunarudi January, ruhusa nishapewa.Mambo ndiyo kama haya sasa[emoji8]
Babe [emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Hujawahi kuwa upande wangu hata siku moja shem, siku moja moja uwe unanitetea. Huyu mdogo wako ni kichomi balaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unataka outing ya Xmas au mwaka mpya? Hupati zote ujuwe, hapo moja yangu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Saa saba ya mwezi gani? January au?
Na ni ya usiku au mchana?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kumbe huyu jamaa Eli79 ni mmeo/mpenzi wako(shemeji yangu)[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha nongwa basi, nisirudije kwamfano?
Wewe ndio mume wangu kipenzi, na hapa ndio kwangu. So nitarudi tu babe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaondoka kesho tunarudi njanuary. We tulia usitoke utunze ada za watoto hizo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unataka outing ya Xmas au mwaka mpya? Hupati zote ujuwe, hapo moja yangu...