Selfika na JF: Snap it. Show it

Mmh yaani jamaa anaangalia kile kiclip "Mimi ndiyo HS ambaye hukunichagua blah blah"; akaangua bonge la cheko afu eti "sorry ila nashukuru sikukuchagua, sijapenda mwonekano wako".
Duuuuuuh
Aise tangu nianze kuangalia hiko kipindi sijawahi kuona mtu kashushuliwa namna hiyo huyo kavunja rekodi wallahi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…