Wamepiga lami siku hizi hadi huko juu kabisa kwenye wodi za watoto ?? Nimewahi kuwepo hapo kwa miezi kadhaa .!
Kuna Barabara ya kupandisha na barabara ya kushuka ...! One way road.! Napamiss mbeya jamani.!
Kipenzi naweza pata picha zingine za huko kwetu .. Green city