Selfika na JF: Snap it. Show it

Dah!!!

Nakumbuka wakati fulani nikiishi downtown Guangzhou, Wachina walikuwa wanateseka sana na miili ya kinyambizi ya wabongo...wenyewe walikuwa wanawaita "big big mama" huku wakionesha ishara ya mzigo mkubwaaa nyuma (semi trailer)
Hahahaha kuna moja aliitupiaga juzi asubuhi akiwa amesimama niliiona jf ikishake
 
tutabaki wawili me na wewe mwisho wa shindano, tunaondoka zetu vichwa chini mikono nyuma!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi Ngoja nijibu mapigo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zigo hata ukijifanya hulioni likikatiza lazima watu wasukumane tu
Dah!!!

Nakumbuka wakati fulani nikiishi downtown Guangzhou, Wachina walikuwa wanateseka sana na miili ya kinyambizi ya wabongo...wenyewe walikuwa wanawaita "big big mama" huku wakionesha ishara ya mzigo mkubwaaa nyuma (semi trailer)
 
Au Ni Mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tumeanza kutafutiza bahati
Inawezekana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ emu mwambie akaangalie jina vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…