Mvute sungura shimoni then mbusu then umwambie unataka unachotaka akifurahi akapiga kelele na vigeregere na akacheua basiiiiiii simu mezani[emoji1787][emoji1787]Jirani nitakupiga chini sasa hivi .sitakagi mafumbo mimi[emoji28][emoji28]
UmerudiarudiaSema suu jirani [emoji28]
Kosa langu liko wapi jirani si umeniambia sema suu amaaUmerudiarudia
Unanichosha na huyo sungura unaemzungumzia.huyo sungura mpka a furaha ni leo!!jirani kibuti kinakujia hivi pundeMvute sungura shimoni then mbusu then umwambie unataka unachotaka akifurahi akapiga kelele na vigeregere na akacheua basiiiiiii simu mezani[emoji1787][emoji1787]
Ndo nishajitokeza sasa wewe toa ramani tu kuwa ni wapi unaweza kwenda kuchukua hiyo macho matatu.Hivi nani ajitokeze aniletee haya macho matatu bure kabisa kama rafiki yake wa kawaida kabisa [emoji28]
Pesa makaratasi..woooozaaaahhh๐งโโ๏ธ๐งโโ๏ธ๐งโโ๏ธ๐งโโ๏ธNdo nishajitokeza sasa wewe toa ramani tu kuwa ni wapi unaweza kwenda kuchukua hiyo macho matatu.
Yaani nikutumie/niitume kwa njia ipi uipate?
Kwani shi ngapi bhana.....hasara roho.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Unanichosha na huyo sungura unaemzungumzia.huyo sungura mpka a furaha ni leo!!jirani kibuti kinakujia hivi punde
Siwezi kukupiga chini jirani yangu aise.usipoteze Aman loh๐ ๐[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Unanitesa wewe na kunivurugavuruga tuSiwezi kukupiga chini jirani yangu aise.usipoteze Aman loh[emoji28][emoji28]
Mimi mwenyewe maisha yananivuruga huku jirani so lazima nimtafute mtu na mimi nimvuruge๐ ๐Unanitesa wewe na kunivurugavuruga tu
Toa hiyo kama rafiki wa kawaida[emoji1]Pesa makaratasi..woooozaaaahhh[emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji3344]
Hizi ni bagia za kunde .Hizi ni kababu za kihindi za pilipili au
Ni dodoma au wapi hii
Ni Dodoma ndioNi dodoma au wapi hii
Naanzaje kutoa silaha ๐ ๐ ๐ siitoi ngโoToa hiyo kama rafiki wa kawaida[emoji1]
Kumbe umeweka kinga/silaha ya kutumia neno rafiki wa kawaida eti eeeee!!Naanzaje kutoa silaha [emoji28][emoji28][emoji28]siitoi ngโo
๐ ๐ ๐ ๐ ๐ kausha basi na wewe msukuma wa bariadi ๐ ๐Kumbe umeweka kinga/silaha ya kutumia neno rafiki wa kawaida eti eeeee!!