Mumie utaiga mwandiko lakini hutoiga 'mamizigo makubwa, makubwa'..!!
Dina mama tubariki na picha yako basi
Umejishindia mwekundu kwa kututia majaribuni na mgongo nasubiri namba ya wakala (M-PESA)
kuna mdhamini ameongezeka hapo boss....bodi ya wadhamini inabidi mfanye mambo basi [emoji1787] [emoji1787]
Nawatakia siku njema
Mshana
Kapeace
Wadogo zangu wazuriwazuri
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
AdiosView attachment 1221556
Watalaaniwa watakaojaribu kufanya hilo..!!Na mie ntayapata hamna kitu kinaongeza confidence kwa mwanamke km akisifiwa na ke wenzie ile ya real sio ya kung'ong'a
Mama na jichura lake[emoji4] hongera umependezaNa ya wakala inbox mshana...
View attachment 1221594
woooiii🙆♂️Nisharusha mbona [emoji23][emoji23][emoji23]
Pichaaa ya miminimama banaa
Nawatakia siku njema
Mshana
Kapeace
Wadogo zangu wazuriwazuri
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
AdiosView attachment 1221556
Na mie ntayapata hamna kitu kinaongeza confidence kwa mwanamke km akisifiwa na ke wenzie ile ya real sio ya kung'ong'a
asiyeamini uchawi upo muonyeshe huu uziMajukwaa mengine yametelekezwa watu wamebanana kwenye huu uzi
Kweli uchawi upo
Majukwaa mengine yametelekezwa watu wamebanana kwenye huu uzi
Kweli uchawi upo
Weraaaaaaaa[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]Mdogo wangu nimeshinda nasubiria kutoa kwa wakala ahsante sana na kapeace Saint anne