Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,835
Msukuma tena wa kijijini na vijiti wapi na wapi? Miye navitupaga tu huko. Napendelea finyango zaidi katika ulaji wangu...Kabisa 80%...isipokuwa kunywa soup tu..
Napenda kuvitumia ila sivipatii %100 namna ya ushikaji.
Naomba ujitolee kunifundisha mkuu
Hapa leo umejipunja. Ni mambo ya kumenteini figa au ni sahani ya mtoto hii? [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Guu umelipunja kidogo. Ungeliachia tu tulione. We nawe kha !!!
Usilewe sana ukashindwa kwenda kupiga kuraView attachment 1614135[emoji1635]
Mwenyewe nilikuwa najilaumu nimezidisha portion ππHapa leo umejipunja. Ni mambo ya kumenteini figa au ni sahani ya mtoto hii? [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Ankal....nipe locationView attachment 1614135[emoji1635]
Mapema sanaNiyeye βοΈβοΈView attachment 1614397
Kabisa biashara asubuh mahesabu jioniMapema sana