Arien JF-Expert Member Joined Aug 29, 2017 Posts 11,245 Reaction score 11,777 Oct 2, 2019 #7,401 joanah said: Itafute,ipo humu humu ndani 😁 Click to expand... Niambie hata iko post namba ngapi maana nikianza pitia Uzi wote watu watajilipua nitakosa uhondo😁
joanah said: Itafute,ipo humu humu ndani 😁 Click to expand... Niambie hata iko post namba ngapi maana nikianza pitia Uzi wote watu watajilipua nitakosa uhondo😁
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Oct 2, 2019 #7,402 kapeace said: Ngumu hiyo we mtoto Click to expand... Hakika. Kweli wanaume hawana mambo ya kidada. Tangu mwanzo wa Uzi sijaona popote wakifanya hivyo.
kapeace said: Ngumu hiyo we mtoto Click to expand... Hakika. Kweli wanaume hawana mambo ya kidada. Tangu mwanzo wa Uzi sijaona popote wakifanya hivyo.
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,269 Oct 2, 2019 #7,403 Pulisic CFC said: Picha yako ipo post namba ngap? Click to expand... Ipo juu juu hapo, post no nimesahau
Pulisic CFC said: Picha yako ipo post namba ngap? Click to expand... Ipo juu juu hapo, post no nimesahau
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Oct 2, 2019 #7,404 Mshana Jr said: Natoa zawadi ya mwekundu kwa picha 3 bora... Ficha macho tu.. (Spesheli kwa wadada) Click to expand... Mmoja tuuu?!
Mshana Jr said: Natoa zawadi ya mwekundu kwa picha 3 bora... Ficha macho tu.. (Spesheli kwa wadada) Click to expand... Mmoja tuuu?!
miminimama JF-Expert Member Joined Aug 2, 2018 Posts 703 Reaction score 1,828 Oct 2, 2019 #7,405 Hela kwanza Saint anne said: WeraaaMalizia na sura mamy. Kuna hela itatolewa humu soon..unaweza kupata. Click to expand...
Hela kwanza Saint anne said: WeraaaMalizia na sura mamy. Kuna hela itatolewa humu soon..unaweza kupata. Click to expand...
miminimama JF-Expert Member Joined Aug 2, 2018 Posts 703 Reaction score 1,828 Oct 2, 2019 #7,406 Roho imetulia dada. kapeace said: Hiyo ya chini mi kwangu burudaniii Click to expand...
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,269 Oct 2, 2019 #7,407 Saint anne said: Kuna hela???? Nani anatoa niweke picha zangu zote jamani Click to expand... Hela anatoa Mshana Jr
Saint anne said: Kuna hela???? Nani anatoa niweke picha zangu zote jamani Click to expand... Hela anatoa Mshana Jr
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Oct 2, 2019 #7,408 ArIeN said: Woooiiii ngoja nifanye mpango Click to expand... Nasubiri
Hazard CFC JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 16,633 Reaction score 38,733 Oct 2, 2019 #7,409 Itabid uweke tena Depal said: Ipo juu juu hapo, post no nimesahau Click to expand...
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Oct 2, 2019 #7,410 miminimama said: Hela kwanza Click to expand... Ipo. Mtoa mada ameahidi kutoa..hii hela isikupite mama
miminimama said: Hela kwanza Click to expand... Ipo. Mtoa mada ameahidi kutoa..hii hela isikupite mama
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Oct 2, 2019 #7,411 Depal said: Hela anatoa Mshana Jr Click to expand... Weraaa. Wacha tujilipue
miminimama JF-Expert Member Joined Aug 2, 2018 Posts 703 Reaction score 1,828 Oct 2, 2019 #7,412 Mshanajr ya kweli haya. Saint anne said: Ipo. Mtoa mada ameahidi kutoa..hii hela isikupite mama Click to expand...
Mshanajr ya kweli haya. Saint anne said: Ipo. Mtoa mada ameahidi kutoa..hii hela isikupite mama Click to expand...
Carleen JF-Expert Member Joined Nov 6, 2018 Posts 8,407 Reaction score 28,838 Oct 2, 2019 #7,413 ArIeN said: 😆😆😆Tangu huu Uzi uanze sijafungua Uzi mwingine wowote! Maana ukizubaa tu utakuta picha zishafutwa🤦🏽♂️ Click to expand... Ukizubaa tu umeliwa walaqhi'..!!
ArIeN said: 😆😆😆Tangu huu Uzi uanze sijafungua Uzi mwingine wowote! Maana ukizubaa tu utakuta picha zishafutwa🤦🏽♂️ Click to expand... Ukizubaa tu umeliwa walaqhi'..!!
Kapeace JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 25,624 Reaction score 69,381 Oct 2, 2019 #7,414 Saaana nilikwambia juzi lakini ila ukiongeza nyingine sitafumba macho miminimama said: Roho imetulia dada. Click to expand...
Saaana nilikwambia juzi lakini ila ukiongeza nyingine sitafumba macho miminimama said: Roho imetulia dada. Click to expand...
Al Watani JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 21,698 Reaction score 32,452 Oct 2, 2019 #7,415 Wewe hujaweka kabisa unachora za wenzako tu joanah said: Huu uzi mzuri sana ila kufatilia comments ama nani kaweka nini inahitaji umakini mkubwa sana Click to expand...
Wewe hujaweka kabisa unachora za wenzako tu joanah said: Huu uzi mzuri sana ila kufatilia comments ama nani kaweka nini inahitaji umakini mkubwa sana Click to expand...
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Oct 2, 2019 #7,416 Saint anne said: WeraaaMalizia na sura mamy. Kuna hela itatolewa humu soon..unaweza kupata. Click to expand... Iko wapii
Saint anne said: WeraaaMalizia na sura mamy. Kuna hela itatolewa humu soon..unaweza kupata. Click to expand... Iko wapii
Arien JF-Expert Member Joined Aug 29, 2017 Posts 11,245 Reaction score 11,777 Oct 2, 2019 #7,417 miminimama hilo body 🔥🔥🔥
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,935 Reaction score 831,421 Oct 2, 2019 Thread starter #7,418 miminimama said: Mshanajr ya kweli haya. Click to expand... Kweli kabisa mwekundu kiroho safi
miminimama JF-Expert Member Joined Aug 2, 2018 Posts 703 Reaction score 1,828 Oct 2, 2019 #7,419 Tuko wengi tunaosubiria hiyo pesa. Sakayo said: Iko wapii Click to expand...
Al Watani JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 21,698 Reaction score 32,452 Oct 2, 2019 #7,420 Hahaha kapeace said: Hamuelewwki nini mnataka bora tujinenepee tu saiv Click to expand...