Selfika na JF: Snap it. Show it

*
USIISHIE KULIA KWA NINI GALLERY YA SIMU YAKO INAJAA KILA MARA.
*

Hii ndiyo namna ya kuepusha simu yako kujaa picha,video nk kutoka kwenye magroup uliyonayo.:
(1.) Nenda kwenye group ambalo hutaki picha, video zake nk ziingie kwenye *gallery.*
Angalia upande wa juu kulia na utaona vinukta vitatu na ubonyeze hapo.
Yatatokea maneno haya: *Group info, Group Media, Search,Mute notification, Wallpaper na More*.
Bonyeza sehemu iliyoandikwa *"Group info"*. Ikifunguka utaona maneno haya *:Mute, Notification,Media visibility, Encryption na Group settings*
Bonyeza sehemu iliyoandikwa *"Media visibility"* ambapo yatatokea maneno haya: *Default, Yes, No*.
Bonyeza palipoandikwa neno *"NO"* kisha bonyeza neno *"
"* hapo chini upande wa kulia.


Kwa kufanya hivyo,hata ungekuwa na magroup mia,kamwe gallery ya simu yako haitajaa, maana vitu vyote vitabaki kueleaelea tu ndani ya group.
 

Kuna group moja nadhani nilifanya hivyo ila sielewi nilifanya kwa namna gani..Kumbe ndio hivi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…