We msukuma weweeeee mkorofi😅😅Nilianzisha mimi na ule msemo wa hamusini hamusini mia yaani vile mat@ko yanacheza na kupishana kulia na kushoto mwanamke akiwa anatembea[emoji1]
Habari za asubuhi mkuu
Hata mimi naona.😅😅Hahahah 😂😂😂 ni raha tu
Vizuri sana kama ni nzuri sana mkuuWe msukuma weweeeee mkorofi[emoji28][emoji28]
Za asubuhi ni nzuri sana mkuu..
Ataagiza udongo soon. Bado hatujamaliza "Asalimwezi"Hata mimi naona.😅😅
Vipi bibie hajaanza kula maembe Mabichi..
Mr kuku hebu fanya mambo kwenye lile jukwaa njaa inaniuma na pesa ya kununua chakula sina leoGuu la Taifa!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mr kuku hebu fanya mambo kwenye lile jukwaa njaa inaniuma na pesa ya kununua chakula sina leo
Jitume baba mkimaliza asalimwezi aje na mapacha.Ataagiza udongo soon. Bado hatujamaliza "Asalimwezi"
Mungu atablessJitume baba mkimaliza asalimwezi aje na mapacha.
Ajitume kwenye nini?[emoji1]Jitume baba mkimaliza asalimwezi aje na mapacha.
Acha kucheka basi ndugu yangu.mda ukikaribia kashushe vyakula nikale mimi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Amen 🙏Mungu atabless
Akate viungo slowly slowly..na mastyle kama yote..😅🤣Ajitume kwenye nini?[emoji1]
Hahaha....una maanisha kuwa apige t@ko sana eti eeeeee?Akate viungo slowly slowly..na mastyle kama yote..[emoji28][emoji1787]
Hapana mimi sijasema hivyo acha kunisingizia🤣🤣
Ndugu yangu andaa ugali mboga safi itakuwa kule mida ya lunchAcha kucheka basi ndugu yangu.mda ukikaribia kashushe vyakula nikale mimi.
Ndugu yangu leo sina hela kabisa ya kununua hata huo unga wa kupika ugali.Ndugu yangu andaa ugali mboga safi itakuwa kule mida ya lunch
Leo introvert ametoka nje?![emoji15][emoji15][emoji15]Mitano Tena[emoji23][emoji23]View attachment 1586715