Selfika na JF: Snap it. Show it

Hapo kwenye say mpesa, kiasi then namba akafanya muamala wa kwanza kujua kiasi kilichomo kwenye line iliyoibiwa, swali sasa je hiyo anawezaje kama anaweza toa 2000 kwanini ingine imsumbue kuitoa, mpaka atumie njia customer care


Sasa watu tunaibiwa TCRA wanalichukuliaje hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…