Selfika na JF: Snap it. Show it

Asante mkuu

Mi nakula ugali dona,mboga za majani,Dagaa,/samaki/nyama nyanya chungu,bamia,biringanya na makorokocho mengine..kama unahicho nilichokiandika
niambie nije kula
Nyanya chungu huwa nasikia siyo salama kula mwanamke eti anaweza akapata usijali kwenye vita majimaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…