Selfika na JF: Snap it. Show it

Hii thread inanifanya nijisahau kama niko single ama la, imenifanya nisahau kama nina shida ndogo ndogo za hapa na pale, inanifanya nifanye kazi za watu haraka ili niwahi tu humu ndani, inanisaidia kukimbiza muda kama vile sahii hata sijui mchana umefikaje, nimeshasahu kama JF kuna thread nyingine, jamaaaani.!!

thread inatibu chunusi, harara na kupunguza uchibonge.!! Heko Mshana Jr kwa tunguli zako walaqhi limbwata limetuingia.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…