Vipi mkuu unaumwa jinoπ πMmmmmmmh
[emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Mambo madame
Huu mwandiko mtam balaa! [emoji39][emoji39][emoji39]
Nimehisi ni kuanzia 1985-1990πSafi kama umehisi hivyo
π lakini kama unahisi ni kwanzia 1990-2020π π π hapana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23] toto tuwekee picha lakini [emoji85][emoji85]
Hahaha afu mwisho wa mwezi huoooHebu jaza kama unavyojaza zile fomu za shib
Hii cheque iliyochafuliwa tugawane hela zake πΆπΆView attachment 1546778kazi kwako
Baadae nakuwekea bonge la photo limekaa ki gentle afu casual sasa.Hahaha afu mwisho wa mwezi huooo
We naye si uangalie mwandiko tu, yani hadi umegeuza karatasiiπββοΈπββοΈHii cheque iliyochafuliwa tugawane hela zake πΆπΆ
Bahati mbaya me sina hata rangi moja ya uslay queen. Niko tu na urembo wangu...Ma slay queen bhana utakuta huu ndo mlo wake wa mchana hapo mpk usiku kula..ππ
Weka kapicha Basi nishuhudie urembo wa mrembo depal..πBahati mbaya me sina hata rangi moja ya uslay queen. Niko tu na urembo wangu...
Mwandiko haunihusu!! Tugawane hela hizo πWe naye si uangalie mwandiko tu, yani hadi umegeuza karatasiiπββοΈπββοΈ
Kigentle tena jaman dear....loBaadae nakuwekea bonge la photo limekaa ki gentle afu casual sasa.
Urembo wangu haukuhusu. We enjoy tu chatting za hapa na paleWeka kapicha Basi nishuhudie urembo wa mrembo depal..π
Dea bhana wee subiri hiyo baadae, uone mambo naamini utashtuka San, ila itabidi uwe mpolee tyuuh.Kigentle tena jaman dear....lo
Nakuelewa mdogo wanguBaadae nakuwekea bonge la photo limekaa ki gentle afu casual sasa.
Kina chausiku huwa mnajua kujitetea..πUrembo wangu haukuhusu. We enjoy tu chatting za hapa na pale
Wewe siwezi kukutosa rafiki yangu si unajua tena we leta account no. Kule pmMwandiko haunihusu!! Tugawane hela hizo π