Bwana aliteta nami kuwa tarehe ya Leo atanionyesha kimwana nae atakuwa ubavu wangu nami Sina lakupinga neno lake bwana!. Sema nami niseme nawe laaziz..π
Bwana aliteta nami kuwa tarehe ya Leo atanionyesha kimwana nae atakuwa ubavu wangu nami Sina lakupinga neno lake bwana!. Sema nami niseme nawe laaziz..
Nimekupenda mrembo.. njoo kwenye himaya ya Adam wako tuijaze dunia Eva wangu..π
Nae alinena tutakuwa mwili mmoja.. sema hata neno dogo tu nami waubavu wako nitaelewa laaziz wa huba..π