Selfika na JF: Snap it. Show it

Si nilisikia huko mambele serikali zao ziliwapa pesa nzuri ya kuweza kujikava na kipindi cha korona#Nimeelewa somo ukipigika pambana na hali yako siyo kujiua.
 
Asante kwa maneno mazuri, niliwahi kupitia shida hadi kulala na njaa huku nina mtoto mchanga nanyonyesha sikuwahi kufikiri kujiua nilikuwa na ujasiri wa ajabu cha kushangaza maumivu yale hayajawahi kuisha nikukumbuka ile picha mtoto ananyonya hakuna kitu imeniathiri sana. Nashukuru MUNGU alinita nguvu ya kukubali kufeli hadi niliposima tena RIP mama ulikuwa nami kipindi chote kigumu.
 
Wengi wetu tunafeli pale tunaposhindwa kuisikiliza sauti ya Mungu...unapopitia shida kubwa kaa tulia utaisikia sauti ya Mungu ikinena nawe ....isikilize sana hiyo sauti isikilize kwa makini...utayavuka magumu yako na kuja kushangaa uliwezaje
Mungu huongea nasi nasi wakati wote lakini huongeza sauti wakati wa shida na kusukwasukwa na dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…