Ngoja nipost kitu kingine naona picha yangu iko kwa display bado wakati nishatia deleteView attachment 1221189
Jamani [emoji50] wow! Kaka mzuri huyu[emoji8]
Yaah tatzo gani nkumbushe kidgo ule uzi siuoni rafikiUlisema utaenda kufikiria tatizo langu.
Nikakuomba unielekeze dawa
Ilikuwa kuziba puaYaah tatzo gani nkumbushe kidgo ule uzi siuoni rafiki
Am sory !
Najifunza i like learning new things thats why unakuta najadili quantum physics though am not expert thereHiyo ngumu kumeza.. kapambane Na Neurones tu
Hii umechemka sio mahala pake[emoji41][emoji41][emoji41] View attachment 1221254
Acha uongo baba jamani, mi nataka nikuoneeKamera inagoma sura ya baba jmn
Hii ndio namba yako ya simu[emoji4]
Umeamkaje mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Heri wale ambao umri umewatupa mkono maana hawa ni kama watoto wao
Wengine Ni wajukuu wao kabisaHeri wale ambao umri umewatupa mkono maana hawa ni kama watoto wao
We ndio mchoyo na pm yakoAcha uchoyo jamani
NdioHii ndio namba yako ya simu[emoji4]
[emoji23][emoji23]
Ahsante love,
Ila sijakufikia mumie.!! Usiiamini sana camera!!