Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,565
- 235,366
Nasubiri [emoji4]Nipeni mzuka basi nitupie picha.
Nipeni mzuka jamani.
Maana nimependeza hatari.
Nimewaka balaaaa.
Ninashangaliwa mpaka aibu.
Sasa nataka na nyinyi mnione [emoji1787]
Haya sasa ni mateso bila chuki
Anza na back huku tukingoja ugeukeSasa nianze na front au back? Yaani sielewi kabisa
Weka sura basi na mimi niweke mdogo wangu kipenzi
Nipo hapa nakusubiri, nione ulivyonoga.Sasa nianze na front au back? Yaani sielewi kabisa
Leo napiga zoezi squating na push ups za home kesho nakutafutaUpo wapi nisogee? Ama njoo huku East Africa tupige tizi
Umesema una mtoko gani leo babe!!
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Nasubiri utoke salonKwa hyo ushanitoroka et
Napenda mbwa aiseeeh ninacho kama hicho cheupeNgoja niweke kambi hapa ya siku tatu nijionee maajabu ya Mungu. View attachment 1530064
Anza na back huko front kila mtu amejaaliwa[emoji41]Sasa nianze na front au back? Yaani sielewi kabisa
Amu kama amu anza na nyumaSasa nianze na front au back? Yaani sielewi kabisa
Good night babe[emoji8][emoji8][emoji8]Umesema una mtoko gani leo babe!!
[emoji24][emoji24][emoji24]
@amu hata haeleweki ujuwe, amenambia nimsubiri twende m.city kuangalia movie, sijui bado anajiparua.
Tulia babe, akimaliza atakuja[emoji6]@amu hata haeleweki ujuwe, amenambia nimsubiri twende m.city kuangalia movie, sijui bado anajiparua.
Mbona mchana nimewekaWeka sura basi na mimi niweke mdogo wangu kipenzi
Khaaaaa!!! Nimesoma huku nacheka..Nipeni mzuka basi nitupie picha.
Nipeni mzuka jamani.
Maana nimependeza hatari.
Nimewaka balaaaa.
Ninashangaliwa mpaka aibu.
Sasa nataka na nyinyi mnione [emoji1787]
Sasa mdogo wangu niweke sura ya nini wakati id yangu sio verified kama ya mshana jr, unataka unidumbukize shimoni