Famili flendi waelekea wapi wewe?Nipeni mzuka basi nitupie picha.
Nipeni mzuka jamani.
Maana nimependeza hatari.
Nimewaka balaaaa.
Ninashangaliwa mpaka aibu.
Sasa nataka na nyinyi mnione [emoji1787]
Yaani hii chura mpaka nawaza yangu au nimeazima [emoji28]Usisahau kutuonyesha na chura hakika itapendeza zaidi [emoji39][emoji39][emoji39]
Mpitie tu family friend, sina shida na wewe. Nami kuna mahali nakwenda hivyo sitaki awe mpweke.Family friend naenda mlimani kucheki movie.
Nimpitie family friend Eli79
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani hii chura mpaka nawaza yangu au nimeazima [emoji28]
Rafiki yangu wa Faida ulipotelea wapi!??
Family friend naenda mlimani kucheki movie.
Nimpitie family friend Eli79
[emoji2307][emoji2307][emoji2307][emoji2307][emoji2307]Mpitie tu family friend, sina shida na wewe. Nami kuna mahali nakwenda hivyo sitaki awe mpweke.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha weeee vipi unamzidi huyu fidodido [emoji116][emoji116]Yaani hii chura mpaka nawaza yangu au nimeazima [emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] family friend fanya tuianze weekend kwa bashashaYaani hii chura mpaka nawaza yangu au nimeazima [emoji28]
Kwendraaaaaa!Rafiki yangu wa Faida ulipotelea wapi!??
Leo hujanikumbusha muda wa mazoezi
Hello love![emoji2307][emoji2307][emoji2307][emoji2307][emoji2307]
Duh za uso hzi!!
Ya huyu haina mvuto bwana haina uwiano.Wacha weeee vipi unamzidi huyu fidodido [emoji116][emoji116]View attachment 1530123
[emoji28][emoji28] Twende basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] family friend fanya tuianze weekend kwa bashasha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Chizi wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu u drop hapa tuone kama kweli yaliyomo yamo [emoji39][emoji39]Ya huyu haina mvuto bwana haina uwiano.
Achana kabisa na ya kwangu [emoji1787][emoji1787] mzigo huu hapa wa maana kabisa