Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,152 Reaction score 137,155 Aug 6, 2020 #65,881 Head full of hair
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Aug 6, 2020 #65,882 Jael said: Ushalewa matikiti eeh? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand...
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,564 Reaction score 119,623 Aug 6, 2020 #65,883 Zoë said: Utume picha yako Click to expand... Nyingine tena zaidi ya ile Zoë, kweli?
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,564 Reaction score 119,623 Aug 6, 2020 #65,884 Makiseo said: Hiyo haina shida Shem Nibariki na yako basi jioni ya leo.. Weka kwa ajili yangu.. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hujatimiza ahadi lakini, ukitimiza tu najiandaa hapa!!!
Makiseo said: Hiyo haina shida Shem Nibariki na yako basi jioni ya leo.. Weka kwa ajili yangu.. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hujatimiza ahadi lakini, ukitimiza tu najiandaa hapa!!!
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Aug 6, 2020 #65,885 Jael said: Hufiki tu? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Nimefika nimekukuta haupo eti Yaani nimekukuta halafu haupo
Jael said: Hufiki tu? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Nimefika nimekukuta haupo eti Yaani nimekukuta halafu haupo
Mnazareth JF-Expert Member Joined Dec 4, 2017 Posts 3,474 Reaction score 7,407 Aug 6, 2020 #65,886 Gallius said: Una maana gani boss Click to expand... Labda ni mwanachama hai wa LGBT....
Kibwengo JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 6,825 Reaction score 5,295 Aug 6, 2020 #65,887 Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Makiwendo JF-Expert Member Joined Aug 12, 2015 Posts 10,031 Reaction score 34,667 Aug 6, 2020 #65,888 Eli79 said: Hujatimiza ahadi lakini, ukitimiza tu najiandaa hapa!!! Click to expand... Duh!!! Sawa Shem. Andaa na yako..kesho mapema sana nakamilisha ahadi... usiku mwema. Sent using Jamii Forums mobile app
Eli79 said: Hujatimiza ahadi lakini, ukitimiza tu najiandaa hapa!!! Click to expand... Duh!!! Sawa Shem. Andaa na yako..kesho mapema sana nakamilisha ahadi... usiku mwema. Sent using Jamii Forums mobile app
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Aug 6, 2020 #65,889 Eli79 said: Mbona nimeshatupia mda sana Depal!! Zoë shahidi yangu... Click to expand... Dad nakuja pm nikaribishe kabisa Nikute umeweka na kapicha
Eli79 said: Mbona nimeshatupia mda sana Depal!! Zoë shahidi yangu... Click to expand... Dad nakuja pm nikaribishe kabisa Nikute umeweka na kapicha
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Aug 6, 2020 #65,890 Makiseo said: Fanya hivyo basi Shem.. Jioni yangu iwe njema. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Napigilia msumari
Makiseo said: Fanya hivyo basi Shem.. Jioni yangu iwe njema. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Napigilia msumari
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,564 Reaction score 119,623 Aug 6, 2020 #65,891 Zoë said: Dad nakuja pm nikaribishe kabisa Nikute umeweka na kapicha Click to expand... karibu sana Zoë!!
Zoë said: Dad nakuja pm nikaribishe kabisa Nikute umeweka na kapicha Click to expand... karibu sana Zoë!!
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,564 Reaction score 119,623 Aug 6, 2020 #65,892 Makiseo said: Duh!!! Sawa Shem. Andaa na yako..kesho mapema sana nakamilisha ahadi... usiku mwema. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Poa shem lake, usiku mwema kwako pia.
Makiseo said: Duh!!! Sawa Shem. Andaa na yako..kesho mapema sana nakamilisha ahadi... usiku mwema. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Poa shem lake, usiku mwema kwako pia.
Gunther Schwagermann JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 7,352 Reaction score 17,680 Aug 6, 2020 #65,893 Gallius said: Hizo strech mark zitanifanya nitoke Equator Lodge muda huu huku airport dodoma nipate company na mimi... Click to expand... Hahaha hapo amejaribu kulivuta#mothers sixpacks.
Gallius said: Hizo strech mark zitanifanya nitoke Equator Lodge muda huu huku airport dodoma nipate company na mimi... Click to expand... Hahaha hapo amejaribu kulivuta#mothers sixpacks.
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,269 Aug 6, 2020 #65,894 Kibwengo said: Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app Click to expand... We kibwengo hii mimoto kulikoni? Hebu weka picha basi
Kibwengo said: Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app Click to expand... We kibwengo hii mimoto kulikoni? Hebu weka picha basi
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Aug 6, 2020 #65,895 cocastic said: Depal @Zoe Heaven Sent hebu wekeni picha zenu nyie vepeeeeh, aaaaah mnaniumiza had bas Click to expand... dogo ukianza kutufokea ndiyo unaharibu
cocastic said: Depal @Zoe Heaven Sent hebu wekeni picha zenu nyie vepeeeeh, aaaaah mnaniumiza had bas Click to expand... dogo ukianza kutufokea ndiyo unaharibu
Gallius JF-Expert Member Joined Aug 24, 2019 Posts 1,999 Reaction score 8,353 Aug 6, 2020 #65,896 blackcornshman said: Hahaha hapo amejaribu kulivuta#mothers sixpacks. Click to expand... Napenda sana wanawake wenye hizo strechmark Boss..
blackcornshman said: Hahaha hapo amejaribu kulivuta#mothers sixpacks. Click to expand... Napenda sana wanawake wenye hizo strechmark Boss..
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Aug 6, 2020 #65,897 Eli79 said: Nyingine tena zaidi ya ile Zoë, kweli? Click to expand... Ndiyo mimi huwa siridhikagi na picha moja ya mtu Muulize mama atakuambia
Eli79 said: Nyingine tena zaidi ya ile Zoë, kweli? Click to expand... Ndiyo mimi huwa siridhikagi na picha moja ya mtu Muulize mama atakuambia
Gunther Schwagermann JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 7,352 Reaction score 17,680 Aug 6, 2020 #65,898 Gallius said: Napenda sana wanawake wenye hizo strechmark Boss.. Click to expand... Aisee sizipendi sema basi tu kwa kuwa wanazo.
Gallius said: Napenda sana wanawake wenye hizo strechmark Boss.. Click to expand... Aisee sizipendi sema basi tu kwa kuwa wanazo.
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,269 Aug 6, 2020 #65,899 Gallius said: Napenda sana wanawake wenye hizo strechmark Boss.. Click to expand... Mimi ninazo, njoo tupendane 😆😆😆
Gallius said: Napenda sana wanawake wenye hizo strechmark Boss.. Click to expand... Mimi ninazo, njoo tupendane 😆😆😆
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Aug 6, 2020 #65,900 Eli79 said: karibu sana Zoë!! Click to expand... Naweka msisitizo nikute picha