Wanaume wa Dar hao mkuu. Wanatumia sabuni na lotion maalum. Sisi huku Misungwi kwenye mashamba ya nyanya mikono na vidole vya kazi aisee vimekunjamana hatari. Maisha !!!